Makundi ya watu wanaoshangilia, yamempokea Rais Uhuru Kenyatta ambaye
amerejea Kenya baada ya kuhudhuria Mahakama ya Kimataifa ICC, iliyopo
The Hague.
Bwana Kenyatta alihudhuria shauri mahakamani siku ya Jumatano, na
kuwa rais wa kwanza aliyepo madarakani kufika katika mahakama ya ICC.
Anakanusha mashtaka dhidi yake ya uhalifu dhidi ya ubinaadam
kuhusiana na ghasia za baada ya
↧