Shule ya Sekondari ya Wavulana Njombe (Njoss)
iliyoko mjini Njombe, imefungwa kuanzia jana hadi Novemba 8, mwaka huu,
baada ya wanafunzi kuchoma moto bweni, karakana na kuharibu mali
mbalimbali za shule na walimu.
Wanafunzi hao wanadaiwa pia kuharibu majengo ya Shule ya Msingi Kilimani iliyo karibu na shule hiyo.
Uamuzi wa kuifunga shule ulitolewa jana na Ofisa
Elimu wa Mkoa wa
↧