Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewafukuza kazi askari polisi watatu kwa kosa la kukosa maadili mema ya jeshi la Polisi.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani hapa Henry Mwaibambe,amewataja
askari hiyo kuwa ni PC Asuma Mpaji Mwasumbi mwenye namba F.7788,PC
Fadhiri Linga mwenye namba G 2122 na PC Veronica Nazaremo Mdeme,wote
walikuwa askari wa kikosi cha usalama barabarani wilayani Missenyi
↧