Mwanaume afunga ndoa na mama yake wa kambo
Mwanamke nchini Ufaransa, juzi amefunga ndoa na mwanae wa kambo baada ya kusuguana na mamlaka za nchini humo kuhusu haki yake ya kuolewa. Elisabeth Lorentz, 48, amefunga ndoa na Eric Holder, kanisani...
View ArticleJokate awaomba mashabiki wamvumilie kwa kuchelewa kutoa video yake, atoa...
Jokate Mwegelo ambaye hivi karibuni alishoot video ya wimbo wake wa kwanza kama msanii wa muziki nchini, ametoa sababu za kwanini mpaka sasa video wala wimbo huo havijafanikiwa kutoka. Jokate a.k.a...
View ArticleNoorah, asimulia tatizo alilokuwa nalo ambalo madaktari walishangaa iweje awe...
Rapper Noorah aka Babastylez amesema kama isingekuwa neema za Mungu, leo hii asingekuwepo duniani. Akiongea kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV hivi karibuni, Noorah alidai alikuwa na tatizo la...
View ArticlePolisi waeleza kwanini walimkamata Redsan kwa kumhisi ‘gaidi’
Maofisa wa polisi nchini Kenya wameeleza kwanini waliamua kumkamata muimbaji wa dancehall wa Kenya, Mohamed Swabir aka Redsan weekend iliyopita. Polisi wamesema msanii huyo pamoja na washkaji zake...
View ArticleJokate arejea kwenye Top 10 Most ya Channel O, Ice Prince ni host mwenza
Jokate Mwegelo anarejea tena kwenye kipindi cha Top Ten Most cha Channel O. Awamu hii mtangazaji mwenza ni rapper Ice Prince Zamani wa Nigeria. Kipindi hicho kitaonekana Jumatano hii saa mbili usiku...
View ArticleDiamond ambwaga Davido kwenye tuzo za IRAWMA.....Anyakua tuzo ya Best...
Diamond Platnumz amewabwaga Davido, Awilo Longomba, Willy Paul Msafi (Kenya) na Eddy Kenzo wa Uganda na kushinda kipengele cha ‘mtumbuizaji bora wa Afrika – Best African Entertainer kwenye tuzo za...
View ArticleARUSHA: Kijana Achapwa Viboko 120 na wazee wa Mila kwa kosa la kutofua Nguo...
SHERIA iliyopitishwa na wakazi wa Arumeru mkoani Arusha ya kuwachapa viboko 70 hadi 120 wasichana wanaovaa nusu uchi na wavulana wanaovaa mlegezo, kuvuta bangi, wizi, matusi na ulevi nyakati za kazi...
View ArticleRUKWA: Wanawake wajiremba kwa Kutumia kondom
MATUMIZI ya kondomu za kike yamekuwa changamoto kubwa baada ya wanawake mkoani Rukwa kukataa kuzitumia, huku wengine wakibadili matumizi yake kwa kuzivaa kama urembo wa bangili. Hayo yalibainika...
View ArticleSerikali Yaiagiza Tanesco kuunganisha umeme siku moja kwa mteje atakayelipa...
SERIKALI imelitaka Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuunganishia wateja umeme ndani ya siku kama watalipa kabla ya saa nne asubuhi. Agizo hilo lilitolewa jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,...
View ArticleKISUTU: Lundenga apinga kuzuiwa kuandaa mashindano ya Miss Tanzania
MWANDAAJI wa mashindano ya urembo Tanzania, Miss Tanzania, Hashim Ludenga amewasilisha pingamizi la awali katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akipinga kuzuiwa kuendelea kuendesha...
View ArticleMOSHI: Mwalimu afumwa gesti na mwanafunzi wake wa Kike Wakifanya Mapenzi
MWALIMU wa Shule ya Sekondari ya Muungano iliyopo mji mdogo wa Himo wilayani Moshi, Richard Ndoile (30), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, kwa tuhuma za kukutwa gesti na mwanafunzi...
View ArticleRais Kikwete amteua Biswalo mganga kuwa Mkurugenzi mpya wa mashtaka (DPP)
Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Biswalo Mganga kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) nchini. Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar Es Salaam, jana,...
View ArticleWaliomlawiti Mwanaume mwenzao na kisha kumfotoa picha za Uchi baada ya...
WASHITAKIWA wanaokabiliwa na mashitaka ya kulawiti na kutuma picha katika mitandao ya kijamii, wamepandishwa kizimbani kusomewa maelezo ya awali ambapo walidaiwa kumlawiti mwanaume mwenzao na kumpiga...
View ArticleVituko Vya Big Brother Vimeanza: Video ya Mshiriki wa Nigeria na Namibia...
Ikiwa ni siku moja tu Imepita tangu shindano la Big Brother Africa lianze, tayari Video za washiriki wakifanya mambo ya kikubwa na vituko vingine zimeanza kuvuja. Lilian...
View ArticleHeri ya Kuzaliwa Rais Wetu Jakaya Mrisho Kikwete
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alizaliwa tarehe 7 Oktoba, 1950 kijiji cha Msoga kilichopo wilayani Bagamoyo...
View ArticleSerikali Yaondoa Zuio la Mikutano ya Vyama vya Siasa Lindi na Mtwara
Serikali imeondoa zuio la mikutano ya Vyama vya Siasa lililokuwa limetangazwa mwezi Mei mwaka juzi kuzuia mikutano hiyo kufanyika katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Zuio hilo limeondolewa leo na Waziri...
View ArticleMaandalizi ya kukabidhi Katiba Mjini Dodoma yakamilika
Mkoa wa Dodoma umeendelea kufanya maandalizi makubwa kwa ajili ya hafla ya kukabidhi Katiba inayopendekezwa kwa Rais Jakaya Kikwete Wakati Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho...
View ArticleMwanasheria Mkuu wa Zanzibar Othman Masoud Othman AFUTWA Kazi
RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, leo amemfuta kazi Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman na nafasi yake...
View ArticleMbunge wa Kawe Halima Mdee Apelekwa Segerea baada ya Kushindwa Kutimiza...
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la chama cha Demokrasia na Maendeleo BAWACHA ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kawe jijini Dar es salaam Mhe. Halima Mdee leo amefikishwa katika mahakama ya hakimu...
View ArticleMatusi ya Mama Wema: Kajala na Wema Sepetu Watoana Jasho Polisi
Kufuatia matusi ya mama wa staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu, Miriam Sepetu kwenda kwa mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’, mastaa hao wamejikuta wakitoana jasho kwenye Kituo cha Polisi cha...
View Article