Maandamano Batili: Halima Mdee na Viongozi 8 wa BAWACHA Wakamatwa na Polisi,...
Viongozi tisa akiwamo Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima Mdee, wamekamatwa na kufikishwa Kituo cha Polisi cha Oysterbay baada ya kufanya maandamano yasiyo halali. Viongozi...
View ArticleMtumishi avamia eneo la makaburi na kujenga baa....Wananchi Wacharuka,...
MKAZI wa Mtaa wa Misufini, Kata ya Nyasa, Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara, Innocent Mtaro anatuhumiwa kujenga baa katikati ya makaburi. Mtaro alijikuta juzi katika wakati mgumu baada ya...
View ArticleOfisi ya Masijala Idara ya Ardhi Kigoma Yachomwa moto... Watu Wanne Watiwa...
Watu wanne wanashikiliwa na polisi mkoani Kigoma kwa tuhuma za kuchoma moto ofisi ya masijala ya Idara ya Ardhi ya Manispaa ya Kigoma Ujiji na kuteketeza hati na nyaraka mbalimbali. Kamanda wa Polisi...
View ArticleWaislamu wakumbushwa kuenzi amani na kuacha kuihatarisha
WAISLAMU wamekumbushwa kujihadhari kufanya ama kujihusisha na vitendo vinavyohatarisha amani kwani hotuba ya mwisho kabisa aliyoitoa Mtume Muhammad (S.A.W) kwa waumini wakati wa Hija kama sasa, pamoja...
View ArticleKibaka Achomwa Moto Maeneo ya Tabataka -Kimanga jijini Dar
KIJANA mmoja (jina halikufahamika) anayedaiwa kuwa kibaka ameuawa kwa kuchomwa moto baada ya kukamatwa jana maeneo ya Tabata-Kimanga jijini Dar es Salaam akiwa nyumbani kwa mtu. Kijana huyo...
View ArticleZitto Kabwe Atwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe, ameibuka mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kutwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii, imefahamika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mwishoni...
View ArticleDiamond Platnumz Afanya Makamuzi ya Nguvu Big Brother Hotshot Usiku Huu
STAA wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku huu amefanya makamuzi ya nguvu katika uzinduzi wa shindano la Big Brother Hotshots unaofanyika jijini Johanessburg nchini...
View ArticleLaveda Afunika Ufunguzi wa Big Brother Hotshots
MSHIRIKI wa shinadano la Big Brother Hotshots kutoka Tanzania, Irene 'Laveda' amefunika vilivyo katika shoo ya ufunguzi wa shindano hilo usiku huu nchini Afrka Kusini. Laveda ameongoza kwa kura...
View ArticleSerengeti Fiesta Yafanya Makamuzi ya Nguvu Mkoani Dodoma
Msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo akitumbuiza kwa staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dodoma usiku wa kuamkia leo. Mo Music akitoa burudani kwa wakzi wa Dodoma waliyofulika kwenye...
View ArticlePolisi wachana bango la walimu linalohoji posho za Bunge Maalumu la Katiba
Maandamano ya walimu kuingia katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani, jana yalipata mtafaruku baada ya polisi kuyaingilia na kuchana bango mojawapo lililohoji posho za...
View ArticleViongozi CCM Msiwe Chanzo cha Makundi
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu na uwazi si kutoa maamuzi yanayopendelea kundi moja kwenye masuala mbalimbali ya chama kwani...
View ArticleCUF Wamuomba Rais Kikwete atakeleze Ahadi yake aliyoitoa Mkoani Tabora
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kutekeleza ahadi aliyoitoa katika Uchaguzi Mkuu 2010 wa kupatikana Wilaya mpya ya Ulyankulu, mkoani Tabora kabla ya kumaliza kipindi chake cha...
View ArticleRUKWA: Mwanafunzi Wa Miaka 17 Amtundika Mimba mwalimu wake mwenye umri wa...
WAKATI ikiwa imezoeleka kuwa baadhi ya walimu wa kiume huwarubuni wanafunzi wao wa kike na hata kuwaharibia kabisa ndoto zao za kielimu kutokana na kuwapa ujauzito, hali imekuwa tofauti mkoani Rukwa...
View ArticleMANYARA: Hausigeli Aiba Milioni 2.6 za Mwajiri wake.....Aruka Ukuta na...
MSICHANA anayefanya kazi za ndani katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, anadaiwa kuiba Sh milioni 2.6 mali ya mwajiri wake. Inadaiwa kuwa siku ya tukio msichana huyo baada...
View ArticleLundenga Atupwa Mahakamani.....Shindano la Miss Tanzania Njia Panda!
MWANZILISHI wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Prashant Patel, amefungua maombi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akiomba mshirika wake, Hashim Ludenga, azuiliwe kuendelea...
View ArticleJWTZ yalaani Wanajeshi wake waliopigana na polisi huko Tarime
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limelaani kitendo cha askari wake wa kikosi cha Nyandoto 27 KJ Makoko ambaye inadaiwa alishindwa kutii maelekezo ya askari polisi wa Usalama Barabarani wilayani...
View ArticleMichango ya Ujenzi wa Maabara: Wananchi Waasi.....Wawashambila na kuwajeruhi...
Takribani wiki moja baada ya Ikulu kukana Rais Jakaya Kikwete, kuagiza watumishi wa serikali kuchangishwa fedha na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) na watumishi wengine wa serikali kupinga walimu...
View ArticleRedsan na producer wake, Mtanzania, Sappy wakamatwa kwa tuhuma za ugaidi
Polisi nchini Kenya juzi walimkamata na kumshikilia kituoni muimbaji wa ‘Badder Than Most’ Redsan na producer wake Mtanzania, Sappy kwa tuhuma za ugaidi. Muimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni...
View ArticleUtekaji wa Watoto Walitikisa jiji la Dar......Noah Nyeusi zapita kuwavizia...
Lile sakata la utekaji na upoteaji wa watoto ambao wengi ni wanafunzi wa shule za msingi katika Jiji la Dar na kudaiwa linafanywa na watu walio kwenye magari aina ya Toyota Noah limeingia katika sura...
View ArticleProfessor Jay: video za ‘Tatu Chafu’ &‘Kipi Sijasikia’ zimewagawanya sana watu
Professor Jay amesema video za nyimbo zake mbili ‘Kipi Sijasikia’ na ‘Tatu Chafu’ alizoziachia mwezi uliopita zimekuwa na ushindani mkubwa, kiasi cha kuwagawa mashabiki ambao wapo waliopenda zaidi...
View Article