MSICHANA anayefanya kazi za ndani katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, anadaiwa kuiba Sh milioni 2.6 mali ya mwajiri wake.
Inadaiwa kuwa siku ya tukio msichana huyo baada ya kuiba fedha hizo, aliruka ukuta wa nyumba na kutokomea kusikojulikana.
Mwajiri wa mfanyakazi huyo, Shujaa Baruti alisema tukio hilo lilitokea Oktoba 2, mwaka huu saa 3 asubuhi, kwenye
↧