CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kutekeleza ahadi aliyoitoa katika Uchaguzi Mkuu 2010 wa kupatikana Wilaya mpya ya Ulyankulu, mkoani Tabora kabla ya kumaliza kipindi chake cha uongozi mwaka 2015.
Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Tanzania Bara, Bi. Magdalena Sakaya, aliyasema hayo jana katika Mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji King'wangoko, Kata ya Sasu, Wilaya
↧