VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu na uwazi si kutoa maamuzi yanayopendelea kundi moja kwenye masuala mbalimbali ya chama kwani wakifanya hivyo, watasababisha makundi ambayo yatajengeana chuki miongoni mwa wana CCM wenyewe.
Katibu wa chama hicho mkoani humo, Bw. Deogratius Rutta, aliyasema hayo mwishoni mwa wiki
↧