Maandamano ya walimu kuingia katika Uwanja wa Kaitaba mjini
Bukoba kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani, jana yalipata mtafaruku baada
ya polisi kuyaingilia na kuchana bango mojawapo lililohoji posho za
wajumbe wa Bunge la Katiba.
Bango hilo la kitambaa cheupe lilikuwa na
maandishi yanayohoji posho ya Sh300,000 waliyokuwa wanapata wajumbe wa
Bunge la Katiba, yakilinganishwa na kazi
↧