Polisi nchini Kenya juzi walimkamata na kumshikilia kituoni muimbaji
wa ‘Badder Than Most’ Redsan na producer wake Mtanzania, Sappy kwa
tuhuma za ugaidi.
Muimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Mohamed Swabir pamoja na
washkaji zake wengine watatu akiwemo Sappy walilala kwa siku moja kwenye
kituo cha polisi kati jijini Nairobi kabla ya kuachiwa jana jioni.
Redsan amesema
↧