Lile sakata la utekaji na upoteaji wa watoto ambao wengi ni wanafunzi
wa shule za msingi katika Jiji la Dar na kudaiwa linafanywa na watu
walio kwenye magari aina ya Toyota Noah limeingia katika sura nyingine.
Safari hii, gari moja lilitupiwa mawe na dereva nusura kuuawa
kufuatia kufika katika Shule za Msingi za Kombo na Mtakuja zilizopo
Vingunguti, Dar kwa lengo la kuzungumza na
↧