Takribani
wiki moja baada ya Ikulu kukana Rais Jakaya Kikwete, kuagiza watumishi
wa serikali kuchangishwa fedha na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) na
watumishi wengine wa serikali kupinga walimu kukatwa mishahara kuchangia
ujenzi wa maabara za shule za sekondari nchini, baadhi ya wananchi
mkoani Singida wameasi na kuwashambulia na kuwajeruhi viongozi wa
serikali waliokuwa wakitekeleza
↧