Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Rasimu ya Katiba inayopendekezwa yapitishwa kwa Kishindo

Bunge maalumu la Katiba  limepitisha rasimu ya katiba iliyopendekezwa. Hatua hiyo imefikiwa baada ya kura za ndio zilizopigwa na wajumbe kufikia kiwango kinachostahili.   Ili katiba hiyo...

View Article


Juzi Wema Sepetu alitimiza miaka 26.....Leo Diamond Platunumz katimiza miaka...

Leo, Octoba 2,  Staa wa muziki wa Bongo Flava Nasibu Abdul 'Diamond Platunumz' anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza umri wa miaka 25. Mpenzi wake, Wema  Sepetu ambaye wengi wanasubiri...

View Article


Mume na Mke Wazichapa Hadharani......Wavuana Nguo na kutoana Manundu kisa Pombe!

Njemba mmoja aliyefahamika kwa jina la Zeno na mkewe Mwajuma Mtata, wakazi wa mtaa Mrefu,  Kigogo-Luhanga jijini Dar wamenaswa wakiangusha bonge la timbwili barabarani na kusababisha umati wa watu...

View Article

Mgao wa Umeme kubaki histori Tanzania 2015

Hatua hiyo itafikiwa kutokana na mtambo unaojengwa katika kituo kingine cha umeme kilichopo  Tabata kinyerezi  kuongezeka  na   kitakuwa  na uwezo wa kuzalisha umeme  mega watts 150.   Akizungumza...

View Article

Shibuda Anena...."Heri kuwa msaliti kuliko mhaini".....Ampongeza Rais Kikwete...

MJUMBE wa Bunge Maalumu, John Shibuda, amesema ni heri kuwa msaliti kuliko kuwa mhaini kwa maslahi mapana ya Watanzania.   Shibuda ambaye alipewa nafasi kuzungumza baada ya Katiba Inayopendekezwa...

View Article


Pinda atamani kura kabla ya Uchaguzi Mkuu

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema ana shauku kuona Katiba Inayopendekezwa, inapigiwa kura na Watanzania na kuwa Katiba kabla hata ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani, kwa kuwa ikiachiwa kuna watu wanaweza...

View Article

Wanajeshi, polisi watwangana risasi huko Tarime.......JWTZ 2 wajeruhiwa,...

Watu 12 wamejeruhiwa wakati wa mashambulizi ya kurushiana risasi baina ya askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) Kikosi 128 KJ cha Nyandoto na Polisi wa Kituo cha Stendi wilayani Tarime mkoani Mara....

View Article

Batuli: Sijavunja Uchumba wa Rose Ndauka

MSANII wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ameshangazwa na madai kuwa, anahusika kuvunjika kwa uchumba wa msanii mwenzake Rose Ndauka na kueleza kuwa hayo ni maneno ya watu wasiomtakia mema....

View Article


Picha za Birthday Party ya Diamond Platinumz, zawadi ya Gari Aliyopewa na...

Diamond Platinumz jana usiku alisherehekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza umri wa miaka 25.   Sherehe hiyo ilifana ambapo mama yake mzani na mpenzi wake Wema Sepetu pamoja na ndugu, jamaa na marafiki...

View Article


Polisi Aliyemfungia Mwanafunzi Gesti na kufanya naye Mapenzi huko Moshi...

 Na Girdon Kalulunga Taarifa kutoka mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, zinaarifu kuwa  jeshi la polisi nchini limemkamata na kumfikisha katika mahakama ya kijeshi askari wake Pc.Godlisen anayetuhumiwa...

View Article

Davido, Diamond na Cassper Nyovest, kutumbuiza kwenye uzinduzi wa Big...

Davido, Diamond na rapper anayetamba kwa sasa Afrika Kusini Cassper Nyovest wametangazwa kutumbuiza kwenye ufunguzi wa shindano la Big Brother Afrika, Jumapili hii.   Ufunguzi huo utarushwa live...

View Article

Wanafunzi wakithiri picha za ngono kwenye simu

BARAZA la Ushauri la Watumiaji Huduma za Mawasiliano Mkoa wa Iringa (TCRA-CCC) limewahadharisha vijana na matumizi yasiofaa ya huduma mbalimbali zinazotolewa kupitia simu za mkononi.   “Picha za ngono...

View Article

Lulu Michael Afunguka kuhusu ukaribu wake na Martin Kadinda

Binti  Mrembo  ndani  ya Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefafanua ukaribu wake na Martin Kadinda kwa kudai ni rafiki yake wa karibu na hakuna cha ziada. Akizungumza na mwandishi wetu, Lulu...

View Article


Ajiua kwa moto kisa Wivu wa Mapenzi

MKAZI mmoja wa kijiji cha Malolwa wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Ndikile Sunguli (38) amejichoma ndani ya nyumba hadi kufa baada ya kumjeruhi mke wake katika ugomvi unaoaminika ni wa mapenzi....

View Article

CCM Mbeya wafagilia mafanikio ya Bunge Maalumu

CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) Mbeya mjini kimepongeza bunge maalumu kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuchakata maoni ya wananchi na hatimaye kupatikana Katiba inayopendekezwa.   Kupitia kwa Mjumbe wa Mkutano...

View Article


Kesi ya Ephrahim Kibonde wa Clouds Fm na Gadner Habash dhidi ya Askari wa...

KESI ya kutumia lugha ya matusi na kutotii amri ya askari wa usalama barabarani, inayowakabili watangazaji wawili, Ephrahim Kibonde wa Kituo cha Habari cha Clouds Media Group na Gadner Habash wa Times...

View Article

Rais Kikwete awacharukia Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanaosubiri taarifa ziletwe...

Rais Jakaya Kikwete amewakemea wakuu wa mikoa na wilaya wanaokaa ofisini wakisubiri kuletewa taarifa bila kujua kinachoendelea katika maeneo yao.   Amesema viongozi wa aina hiyo hawafai kuwapo kwenye...

View Article


Uzuri wamponza, wenye wivu wamharibu sura

WASICHANA ndugu wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 16 na 18 wamemshambulia kwa visu binti mwenye miaka 15, kwa lengo la kumkomesha kwa sababu anasifiwa kuwa mzuri.    Katika tukio hilo la aina yake,...

View Article

CCM Moshi yaandaa mapokezi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba

Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kilimanjaro, kimepanga kufanya mapokezi ya wajumbe waliokuwa katika Bunge la Katiba wakiwawakilisha wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro. Mapokezi hayo, yanatarajiwa...

View Article

Video Inatisha: Muingereza mwingine akatwa kichwa na Wanamgambo wa Kiislamu (...

Kundi la wanamgambo wa kiislamu la Islamic state limetoa mkanda wa video unaoonyesha mateka Alan Henning raia wa Uingereza akikatwa kichwa.   Henning mwenye umri wa miaka 47 ambaye ni dereva wa texi...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>