CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) Mbeya mjini kimepongeza bunge maalumu kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuchakata maoni ya wananchi na hatimaye kupatikana Katiba inayopendekezwa.
Kupitia kwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa wa CCM kutoka Mbeya Mjini (MNEC), Charles Mwakipesile chama hicho kilitoa pongezi za dhati jana katika kikao maalumu na waandishi wa habari.
Mwakipesile alisema kupatikana kwa
↧