KESI ya kutumia lugha ya matusi na kutotii amri ya askari wa usalama barabarani, inayowakabili watangazaji wawili, Ephrahim Kibonde wa Kituo cha Habari cha Clouds Media Group na Gadner Habash wa Times Fm, imeahirishwa hadi Novemba 5 na 12 mwaka huu itakapoanza kusikilizwa.
Watangazaji hao waliiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kuahirisha kesi hiyo kutokana na wakili wao kupata
↧