Rais Jakaya Kikwete amewakemea wakuu wa mikoa na wilaya wanaokaa
ofisini wakisubiri kuletewa taarifa bila kujua kinachoendelea katika
maeneo yao.
Amesema viongozi wa aina hiyo hawafai kuwapo kwenye nafasi hizo.
Aidha, aliwataka kukamilisha agizo lake la kujenga maabara katika
halmashauri zao na kuwa Desemba 9, mwaka huu atakagua shule zote.
Alitoa agizo hilo mjini Dodoma wakati
↧