Hatua hiyo itafikiwa kutokana na mtambo unaojengwa katika kituo
kingine cha umeme kilichopo Tabata kinyerezi kuongezeka na kitakuwa
na uwezo wa kuzalisha umeme mega watts 150.
Akizungumza jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati na
Madini Eliakimu Maswi amesema hadi sasa wana jumla ya vituo kumi
ambavyo vinazalisha umeme.
Naye Mkuu wa Mkoa Said Mecky
↧