Njemba mmoja aliyefahamika kwa jina la Zeno na mkewe Mwajuma Mtata,
wakazi wa mtaa Mrefu, Kigogo-Luhanga jijini Dar wamenaswa wakiangusha
bonge la timbwili barabarani na kusababisha umati wa watu kujikusanya
eneo hilo kujionea ‘sinema’ ya bure.
Tukio hilo lililofananishwa na muvi ya kivita lilitokea usiku wa
Jumanne iliyopita ambapo chanzo kimedaiwa kuwa ni mwanamke huyo
↧