Leo, Octoba 2, Staa wa muziki wa Bongo Flava Nasibu
Abdul 'Diamond Platunumz' anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa
anatimiza umri wa miaka 25.
Mpenzi wake, Wema Sepetu ambaye wengi wanasubiri kusikia atasema nini
au atatoa zawadi gani kwa Diamond ambaye alimpa gari aina ya Nissan
Murano, ameandika machache kwenye Instagram na kueleza kuwa anajipanga
kuandika ujumbe mzuri zaidi.
↧