Bunge maalumu la Katiba limepitisha rasimu ya katiba iliyopendekezwa. Hatua hiyo imefikiwa baada ya kura za ndio zilizopigwa na wajumbe kufikia kiwango kinachostahili.
Ili
katiba hiyo iliyopendekezwa ipite ilitakiwa kuungwa mkono na kura za
ndio theluthi mbili( 2/3) kutoka Tanzania bara na theluthi mbili (2/3) za ndio
kutoka Zanzibar.
Jumla ya wajumbe wote wa bunge hilo la
↧