Diamond Platinumz jana usiku alisherehekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza umri wa miaka 25.
Sherehe
hiyo ilifana ambapo mama yake mzani na mpenzi wake Wema Sepetu pamoja
na ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria waliinogesha sherehe hiyo
iliyomalizika majira ya saa kumi alfajiri.
Pamoja na zawadi nyingine, Menejiment ya Diamond ilimpa zawadi ya gari jipya aina ya BMW X6.
↧