MSANII wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’
ameshangazwa na madai kuwa, anahusika kuvunjika kwa uchumba wa msanii
mwenzake Rose Ndauka na kueleza kuwa hayo ni maneno ya watu wasiomtakia
mema.
Akizungumza na mwandishi wetu kuhusu madai hayo, Batuli
alisema hajawahi kuwa na uhusiano wowote na bwana wa Rose (Malick) na
kwamba ukaribu wao ni wa kikazi tu.
“Jamani siwezi
↧