Watu 12 wamejeruhiwa wakati wa mashambulizi ya kurushiana risasi
baina ya askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) Kikosi 128 KJ cha Nyandoto
na Polisi wa Kituo cha Stendi wilayani Tarime mkoani Mara.
Hatua hiyo imekuja wakati wanajeshi hao walipokuwa
wakijaribu kumchukua askari mwenzao aliyekamatwa na Polisi wa Kikosi
cha Usalama Barabarani kwa kuendesha pikipiki bila kuwa na kofia ngumu
↧