Na Girdon Kalulunga
Taarifa kutoka mjini Moshi mkoani Kilimanjaro,
zinaarifu kuwa jeshi la polisi nchini limemkamata na kumfikisha katika
mahakama ya kijeshi askari wake Pc.Godlisen anayetuhumiwa kumtumikisha
katika vitendo vya ngono mwanafunzi wa kidato cha tatu wa shule ya
sekondari Okaoni iliyopo wilaya ya Moshi.
Habari zinasema kuwa, askari huyo ambaye Septemba 21 mwaka huu
↧