Davido, Diamond na rapper anayetamba kwa sasa Afrika Kusini Cassper
Nyovest wametangazwa kutumbuiza kwenye ufunguzi wa shindano la Big
Brother Afrika, Jumapili hii.
Ufunguzi huo utarushwa live kuanzia saa 2 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Cassper Nyovest anajulikana kwa ngoma zake kama “Gusheshe” na “Doc
Shebeleza” na amewahi kushare jukwaa na wasanii mbalimbali
↧