Binti Mrembo ndani ya Bongo
Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefafanua ukaribu wake na Martin
Kadinda kwa kudai ni rafiki yake wa karibu na hakuna cha ziada.
Akizungumza na mwandishi wetu, Lulu
alisema yeye na Kadinda ni marafiki wa kweli na amekuwa akiyafurahia maisha
yao kwa kushauriana masuala mbalimbali ya kimaisha tofauti na wengine
wanavyojiongeza.
“Kadinda ni mtu
↧