Kundi la wanamgambo wa kiislamu la
Islamic state limetoa mkanda wa video unaoonyesha mateka Alan Henning
raia wa Uingereza akikatwa kichwa.
Henning mwenye umri wa miaka 47
ambaye ni dereva wa texi kutoka kaskazini mwa Uingereza alitekwa nyara
mwezi Disemba mwaka uliopita alipokuwa akilifanyia kazi shirika moja la
kutoa huduma za misaada kwa wakimbizi nchini Syria.
Kundi la
↧