Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kilimanjaro, kimepanga kufanya mapokezi
ya wajumbe waliokuwa katika Bunge la Katiba wakiwawakilisha wananchi wa
mkoa wa Kilimanjaro.
Mapokezi hayo, yanatarajiwa kuanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Kilimanjaro (KIA), na kuelekea ofisi za CCM mkoa, na kufuatiwa na
mkutano mkubwa wa hadhara utakaofanyika katika viwanja vya stendi kuu ya
mabasi mjini
↧