Viongozi tisa akiwamo Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema
(Bawacha), Halima Mdee, wamekamatwa na kufikishwa Kituo cha Polisi cha
Oysterbay baada ya kufanya maandamano yasiyo halali.
Viongozi hao wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kesho (Jumatatu) kwa ajili ya kusomewa mashitaka.
Kukamatwa kwao kulikuja muda mfupi baada ya maandamano yao yaliyoanzia
kwenye ofisi za baraza hilo
↧