MKAZI wa Mtaa wa Misufini, Kata ya Nyasa, Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara, Innocent Mtaro anatuhumiwa kujenga baa katikati ya makaburi.
Mtaro alijikuta juzi katika wakati mgumu baada ya wananchi wanaodai ni wenye hasira kutaka kumpa kipigo kwa kitendo hicho cha kugeuza sehemu ya makaburi kuwa eneo la burudani.
Mfanyabiashara huyo ambaye pia ni mfanyakazi Idara ya Fedha ya
↧