Watu wanne wanashikiliwa na polisi mkoani Kigoma kwa tuhuma za kuchoma
moto ofisi ya masijala ya Idara ya Ardhi ya Manispaa ya Kigoma Ujiji na
kuteketeza hati na nyaraka mbalimbali.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Jafari Ibrahim, aliwataja watuhumiwa
hao kuwa ni Anna Fanuel (46), Makrina Paul (49), Saimon Pius (37) na
Tumaini Esau (44).
Alisema Oktoba mosi, mwaka huu saa 4.15
↧