WAISLAMU wamekumbushwa kujihadhari kufanya ama kujihusisha na vitendo vinavyohatarisha amani kwani hotuba ya mwisho kabisa aliyoitoa Mtume Muhammad (S.A.W) kwa waumini wakati wa Hija kama sasa, pamoja na mambo mengine, ilisisitiza amani.
Ushauri huo ulitolewa jana na Shekhe Sharif Abdulqadir al- Ahdal wakati wa swala ya Eid el-Adha kwa watu wanaoamini katika mwandamo wa mwezi wa
↧