'Serengeti Boy' anaswa Gesti na Mke wa Kigogo
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Marck Costantine (24), mkazi wa mtaa wa Kitangiri jijini Mwanza amenaswa ‘live’ gesti akiwa na mke wa kigogo mmoja (jina kapuni), aitwaye Mwanaidi wakijiandaa...
View ArticleNdege za jeshi za Iraqi zasambaza vyakula na maji kwa kundi la ISIS kwa...
Marubani wa ndege za kivita za Iraqi zilizokuwa na maji, vyakula na misaada mingine ya kibinadamu zimesambaza mahitaji hayo kwa maadui zao wa kundi la Islamic States badala ya kuwapa wanajeshi wao....
View ArticleHii inakubalika Tanzania? Irine Uwoya na Rich Wafanya LIVE kwenye scene ya...
Tasnia ya filamu nchini huenda ikawa na mengi yanayofanyika nyuma ya pazia wakati wa majaribio ya kutafuta shots nzuri zenye uhalisia hasa kwenye scene za mapenzi! Lakini napata kigugumizi kikali...
View ArticleWaliopiga kura ya hapana walalamika kutishwa
Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba waliopiga kura za hapana wamelazimika kuondoka Dodoma na kurudi Zanzibar kwa madai ya vitisho walivyopata kutoka kwa wenzao. Mmoja wa wajumbe hao, Salma Said...
View ArticleCCM Kufanya Maamuzi Magumu
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema watendaji waliohusika kusababisha mgogoro katika Kiwanda cha Chai Mponde, kilichopo Jimbo la Bumbuli, Wilaya ya Lushoto, mkoani Tanga, wanapaswa kuwajibishwa pamoja...
View ArticleWaliodhurika kwa kunywa togwa yenye Sumu Songea wafika 340
Idadi ya watu waliolazwa hospitalini kwa kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu katika Kijiji cha Litapwasi, Kata ya Mpitimbi mkoani Ruvuma imeongezeka kutoka 270 hadi 340. Tukio hilo lilitokea...
View ArticleAmmwagia mumewe maji ya moto
Mwanamke mmoja katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amemfanyia ukatili mume wake kwa kumwagia maji ya moto yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya kupikia ugali. Kwa mujibu wa jeshi la polisi wilayani...
View ArticleMume ajiua kwa sumu ukweni
MFANYABIASHARA wa mjini Tarime mkoani Mara, Wilson Weso maarufu Kishimba (34) amekufa kwa kile alichodaiwa amekunywa sumu nyumbani kwa baba mkwe wake. Inadaiwa alifanya hivyo nyumbani kwa baba mkwe,...
View ArticlePolisi achunguzwa kwa kumtorosha na kumweka kinyumba mwanafunzi wa kidato cha...
(Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro.) JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linachunguza tukio la askari wake (jina tunalo), iwapo alimtorosha na kumweka kinyumba mwanafunzi wa kidato cha tatu...
View ArticleChama cha ACT-Tanzania Chakanusha Kumilikiwa na Zitto Kabwe
ACT-TANZANIA ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPERANCY TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu wanahabari kumekuwa na utaratibu wa habari zinazoupotosha umma wa Watanzania kuhusu chama chetu cha ACT-Tanzania....
View ArticleRais Kikwete ataja njia Saba zinazochukuliwa na Serikali Kupunguza Foleni za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametaja hatua saba ambazo Serikali yake imeanza kuzichukua ama inakusudia kuzichukua ili kukabiliana na msongamano wa magari...
View ArticleTanzania ina idadi ndogo ya wazee duniani
Tanzania imetajwa kushika nafasi ya 92 katika orodha ya nchi zenye idadi kubwa ya wazee kati ya nchi 96 duniani huku takwimu za taasisi ya Helpage International zikionyesha kuwa ifikapo mwaka 2050...
View ArticleKutukanwa Matusi Mazito ya Nguoni: Kajala kumshitaki mama yake Wema...
Habari ya mjini kwa sasa ni bethidei ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutimiza miaka 26 tangu kuzaliwa, lakini ndani ya tukio hilo, mengine yameibuka! Miongoni mwa yaliyoibuka kwenye sherehe hiyo...
View ArticleBunge Lachafuka......Mwanasheria mkuu wa Zanzibar anusurika kupigwa
Licha ya Bunge Maalum la Katiba (BMK) kuunda Kamati ya Mashauriano ili kusaka theluthi mbili ya kura za upande wa Zanzibar, Bunge hilo jana lilichafuka baada ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman...
View ArticleRadi yajeruhi wanafunzi 17 Mwanza
Wanafunzi 17 wa Shule ya Sekondari Kabuholo wilayani Ilemela jijini Mwanza, wamejeruhiwa na radi kufuatia mvua kubwa ilioyonyeshwa jijini humo kwa saa moja. Tukio hilo lilitokea jana saa 1.45 asubuhi...
View ArticleSamwel Sitta: Mnyika Kanitukana Matusi Mazito
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amelieleza Bunge hilo kuwa, Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema), aliamua kumtukana yeye na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge....
View ArticleMatokeo yanaendelea kutangazwa Bungeni.....Theluthi mbili ya wajumbe toka...
Matokeo ya kura za wajumbe yanaendelea kutangazwa, 2/3 mpaka sasa inaongoza katika sura ambazo zimetajwa. Theluthi mbili ya wajumbe toka Zanzibar na Bara wamepiga kura ya Ndio kuafiki...
View ArticleKijana Akacha shule kwa kunogewa penzi la nguruwe huko Sumbawanga.....Polisi...
UNAWEZA kudhani ni Hekaya za Kusadikika! Lakini ni kisa cha kweli kwamba mama mzazi amemshitaki polisi mwanawe wa kiume, ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 16, kwa kile...
View ArticleSitta amchimba mkwara mkewe
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana alimchimba mkwara mkewe Margareth Sitta kuwa angepata tabu sana kama angekosea kupiga kura. Mbali na Uenyekiti wa Bunge la Katiba, Sitta...
View ArticleJe, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa...
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha...
View Article