Diamond Amzawadia Gari Wema Sepetu
Diamond Platinumz ameonesha jinsi ambavyo penzi lake na Wema Sepetu linazidi kuimarika tofauti na habari zilizokuwa zimesambaa kwenye magazeti hivi karibuni. Mdogomdogo Diamond amemzawadia kichuna...
View ArticleUVCCM wamvaa Jaji Warioba
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umemtaka aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba, aingie mtaani kupambana akiwa na chama cha siasa badala ya kuendelea...
View ArticleCUF Yatangaza mkakati mzito
CHAMA Cha Wananchi (CUF) kimesema kitakuwa tayari kuingia mitaani na kuungana na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba, kupinga rasimu itakayopitishwa na Bunge Maalumu la...
View ArticleMuuguzi Adaiwa kusababisha kifo cha mama mjamzito na watoto wake mapacha kwa...
HOSPITALI ya Serikali mkoani Shinyanga juzi ilijikuta katika wakati mgumu baada ya kundi la wananchi kuvamia wodi ya wazazi, wakilalamikia uzembe uliofanywa na muuguzi kushindwa kutoa msaada kwa...
View ArticleCHADEMA Waliteka jiji la Mwanza.....Polisi watumia Mabomu Kuwatawanya
Baada ya Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza kuzuia maandamano ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katikati ya wiki iliyopita, umati mkubwa wa wakazi jijini hapa jana walifurika...
View ArticleBig Brother Africa 2014: Picha na Video zote za washiriki wakioga, wakicheza...
Ni siku 6 tu zimesalia kabla ya shindano la Big Brother Africa kuanza ambapo Mshindi wake ataondoka na Dolla 300,000. Usikubali kupitwa na tukio lolote kutoka ndani ya jumba...
View ArticlePicha: Beyonce apata shida baada ya nguo kufunguka na kuacha kifua chote wazi...
Beyonce Knowles alipata tatizo la aina yake alipowasapraiz mashabiki wake kwa kuungana jukwaani na mumewe Jay Z ghafla katika Global Citizen Festival iliyofanyika wikendi iliyopita. Akiwa katika...
View ArticleSad: Msanii Wa Bongo Flava Side Boy Mnyamwezi Afariki
Habari za kusikitisha zilizothibitishwa, zinaeleza kuwa msanii wa bongo aliyekuwa anajulikana kama Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia jana Side alifikwa na umauti katika hospitali ya Nyangao iliyopo...
View ArticleTCRA yaanza kuwashughulikia wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imeendelea kuwakumbusha wananchi kutumia njia ya mawasiliano ipasavyo ili kujijengea heshima kwani kwa sasa hatua kali za kisheria zimeanza kuchukuliwa kwa...
View ArticleAmber Rose alimfumania Wiz Khalifa saa nane usiku, Wiz asema alifanya makusudi
Uamuzi wa Amber Rose kutaka kutalakiana na mumewe Wiz Khalifa ulizua maswali mengi huku ‘uchepukaji’ ukitajwa kuwa chanzo cha yote. Lakini kwa mujibu wa TMZ, Amber Rose alichukua uamuzi huo baada ya...
View ArticleJeshi la Polisi latumia Risasi za Moto na Mabomu kutawanya wafuasi wa CHADEMA...
Wafuasi wa Chadema jana waliandamana katika mitaa ya Manzese na kusababisha tafrani baada ya polisi kuwatawanya kwa mabomu ya machozi na risasi. Maandamano hayo yaliyoanza saa nne asubuhi jana,...
View ArticleTibaigana: Nchi hii inahitaji Rais Dikteta
Iko dhana kuwa ili Tanzania ipige hatua kimaendeleo inahitaji kiongozi anayethubutu kufanya uamuzi mgumu hasa kuwawajibisha viongozi wabadhirifu na wazembe, lakini Kamanda wa Polisi mstaafu wa Kanda...
View ArticleUmoja wa Ma-Girlfriend Tanzania Watoa Tamko baada ya Diamond kutoa zawadi ya...
September 26 ilikua ni siku ambayo mrembo kutoka Tanzania Wema Sepetu alisherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo ndani ya siku yake hii ukitoa party aliyoifanya kulikuwa na vitu mbalimbali vya...
View ArticleBAKWATA Yatangaza Siku ya Sikukuu ya Idd el Haji
Baraza Kuu la Waislam Tanzania, BAKWATA limetangaza kuwa sikukuu ya Idd el Haji itafanyika siku ya Jumapili ya tarehe 5 Oktoba 2014. Akizungumza na TBC, Kaimu Mufti wa Tanzania ambaye pia ni Shehe...
View ArticleWatu 250 Hoi Hospitalini.....Walazwa baada ya kunywa Togwa yenye Sumu mkoani...
Zaidi ya watu 250 miongoni mwao wakiwemo watoto, katika kijiji cha Litapwasi katika wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wamenusurika kufa baada ya kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu. Watu hao...
View ArticleWaziri Mkuu Mizengo Pinda aiokoa Mahakama ya Kadhi.....Asema Januari mwakani...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana alilazimika kuokoa jahazi la ‘kuzama’ kwa Katiba Mpya kwa kupoza hasira za Waislamu kuhusu Mahakama ya Kadhi kutoingizwa kwenye Katiba inayopendekezwa. Badala yake...
View ArticleKura ya HAPANA yatikisa Bunge Maalumu la Katiba
Wajumbe wa Bunge la Maalumu la Katiba jana walianza kupiga kura za kuamua ibara za Katiba inayopendekezwa, huku kura za wajumbe kutoka Zanzibar zikiibua wasiwasi wa iwapo theluthi mbili itapatikana au...
View ArticleNyota ya Jaji Joseph Warioba Yang'ara Shinyanga
BAADHI ya wakazi wa Mji wa Shinyanga, wamepinga vikali kitendo cha baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kumshambulia kwa maneno ya kejeli aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,...
View ArticleKwa Nini Waganga Wanaweza Kuwasaidia Watu Kuwa Matajiri Wakati Wao Ni...
Kuna watu ambao wanapata mafanikio makubwa kwa kutumia uchawi. Ila mafanikio yale hayaletwi na uchawi bali imani ya mtu husika. Tutajadili kwa nini waganga wanaweza kuwapatia watu wengine dawa au...
View ArticleRUVUMA: Jeneza laibwa msikitini, lakutwa kwa afisa mtendaji
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linawasaka watu wasiofahamika wanaotuhumiwa kuingia msikitini na kuiba jeneza, Wilaya ya Namtumbo, mkoani Ruvuma. Baada ya kuiba jeneza hilo, watu hao wanadaiwa kwenda...
View Article