Iko dhana kuwa ili Tanzania ipige hatua kimaendeleo inahitaji
kiongozi anayethubutu kufanya uamuzi mgumu hasa kuwawajibisha viongozi
wabadhirifu na wazembe, lakini Kamanda wa Polisi mstaafu wa Kanda
Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Alfred Tibaigana amekwenda mbali
zaidi; anataka rais dikteta.
Kamishna Tibaigana alitoa kauli hiyo katika
mahojiano maalumu na Mwananchi nyumbani
↧