Wafuasi wa Chadema jana waliandamana katika
mitaa ya Manzese na kusababisha tafrani baada ya polisi kuwatawanya kwa
mabomu ya machozi na risasi.
Maandamano hayo yaliyoanza saa nne asubuhi jana,
yalihusisha wanachama takriban 30 kutoka maeneo mbalimbali ya Jimbo la
Ubungo. Yalianzia Manzese Midizini na kuishia Ofisi za Chadema Kata ya
Manzese.
Awali, waandamanaji hao waliokuwa
↧
Jeshi la Polisi latumia Risasi za Moto na Mabomu kutawanya wafuasi wa CHADEMA Manzese, Dar es Salaam
↧