Uamuzi wa Amber Rose kutaka kutalakiana na mumewe Wiz Khalifa ulizua
maswali mengi huku ‘uchepukaji’ ukitajwa kuwa chanzo cha yote.
Lakini kwa mujibu wa TMZ, Amber Rose alichukua uamuzi huo baada ya
kumfumania Wiz Khalifa akiwa na mwanamke mwingine nyumbani kwake majira
ya saa nane usiku.
Taarifa hizo zimeunganishwa na tweet ya Amber Rose inayoeleza kuwa anaendelea kulikumbuka
↧