Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imeendelea
kuwakumbusha wananchi kutumia njia ya mawasiliano ipasavyo ili
kujijengea heshima kwani kwa sasa hatua kali za kisheria zimeanza
kuchukuliwa kwa wale wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii.
Akizungumza na Times fm, Meneja mawasiliano wa (TCRA) Inocent Mungy
amesema kuwa ipo haja kwa wasichana kujiheshimu kwani picha nyingi
mbaya
↧