Habari za kusikitisha zilizothibitishwa, zinaeleza kuwa msanii wa
bongo aliyekuwa anajulikana kama Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia jana
Side alifikwa na umauti katika hospitali ya Nyangao iliyopo katika mkoa wa Lindi.
Msanii huyo alifahamika zaidi kwa wimbo wake wa ‘Kua uyaone’ aliomshirikisha Ali Kiba.
Nyimbo nyingine alizowahi kutoa ni pamoja na ‘Hujafa
↧