Zaidi ya watu 250 miongoni mwao wakiwemo watoto, katika kijiji cha
Litapwasi katika wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wamenusurika kufa baada
ya kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu.
Watu hao wamekunywa togwa hiyo katika sherehe ya kipaimara iliyofanyia kijijini hapo juzi, Jumapili.
Watu 27 kati yao walilazwa katika hospitali ya Mtakatifu Joseph ya
Peramiho huku wengine
↧