Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana alilazimika kuokoa jahazi la
‘kuzama’ kwa Katiba Mpya kwa kupoza hasira za Waislamu kuhusu Mahakama
ya Kadhi kutoingizwa kwenye Katiba inayopendekezwa.
Badala yake Pinda aliwaahidi kuwa Januari mwakani,
Serikali itawasilisha bungeni muswada wa sheria ili kuutambua uamuzi
unayofanywa na Mahakama za Kiislamu.
Tamko hilo lilitokana na kuwapo kwa
↧