Wajumbe wa Bunge la Maalumu la Katiba jana
walianza kupiga kura za kuamua ibara za Katiba inayopendekezwa, huku
kura za wajumbe kutoka Zanzibar zikiibua wasiwasi wa iwapo theluthi
mbili itapatikana au la.
Dalili za kupiga kura za hapana kutoka upande wa
Zanzibar zilianza kujionyesha mapema baada ya taarifa za ndani kueleza
kuwa zikikosekana 10 kutoka upande huo wa Muungano hakuna
↧