Baraza Kuu la Waislam Tanzania, BAKWATA limetangaza kuwa sikukuu ya Idd
el Haji itafanyika siku ya Jumapili ya tarehe 5 Oktoba 2014.
Akizungumza na TBC, Kaimu Mufti wa Tanzania ambaye pia ni Shehe Mkuu wa
Mkoa wa Shinyanga, Ismail Habib Mwakusanya amsesema swala ya sikukuu
hiyo itaswaliwa Kitaifa katika msikiti wa Al Farouq uliopo Kinondoni
jijini Dar es Salaam na kufuatiwa na Baraza
↧