Baada
ya Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza kuzuia maandamano ya wafuasi wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katikati ya wiki iliyopita, umati
mkubwa wa wakazi jijini hapa jana walifurika katika uwanja wa Shule ya
Msingi Mbugani kuwasikiliza viongozi wao wa kitaifa.
Viongozi hao ni Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika na Naibu Katibu Mkuu
Zanzibar, Salum Mwalimu.Mkutano huo
↧