HOSPITALI ya Serikali mkoani Shinyanga juzi ilijikuta katika wakati mgumu baada ya kundi la wananchi kuvamia wodi ya wazazi, wakilalamikia uzembe uliofanywa na muuguzi kushindwa kutoa msaada kwa mwanamke aliyekuwa akijifungua na kusababisha kifo chake na watoto wake mapacha aliokuwa anajifungua.
Hali hiyo ilijitokeza saa 12 juzi jioni baada ya wazazi wa mjamzito huyo aliyekuwa
↧