CHAMA Cha Wananchi (CUF) kimesema kitakuwa tayari kuingia mitaani na kuungana na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba, kupinga rasimu itakayopitishwa na Bunge Maalumu la Katiba kwa madai kuwa haitokani na mawazo ya wananchi.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara ulioandaliwa na chama hicho wilayani Kaliua mkoani Tabora, Naibu Katibu wa CUF Tanzania Bara,
↧