UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umemtaka aliyekuwa
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba, aingie
mtaani kupambana akiwa na chama cha siasa badala ya kuendelea kutumia
mwamvuli wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Tamko hilo lilitolewa jana na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar,
Shaka Hamdu Shaka alipozungumza na mjini Dodoma nje ya viwanja vya
↧