Diamond Platinumz ameonesha jinsi ambavyo penzi lake na Wema Sepetu
linazidi kuimarika tofauti na habari zilizokuwa zimesambaa kwenye
magazeti hivi karibuni.
Mdogomdogo Diamond amemzawadia kichuna wake gari jipya aina ya Nissan Morano kama zawadi ya birthday.
Mwimbaji buyo alishare picha ya gari hilo kwenye Instagram na
kumuandikia ujumbe mtamu mrembo wake aliyekuwa miss
↧