Mwanasiasa
Mkongwe nchini Tanzania Kingunge Ngombale Mwiru amesema Katiba ya sasa
imezingatia masuala ya Msingi na kuwa bora zaidi na kuongeza kuwa
vipengele viliyoondolewa ni kwa maslahi ya Taifa la Tanzania.
Akichangia
rasimu iliyopendekezwa jana bungeni mjini Dodoma Kingue alisema hata
kuondolewa kwa mfumo wa Serikali Tatu ni kwa kuwa muundo huo ulikua
umelenga kuuvunja
↧