Wema Sepetu Amsaka Meninah Kwa Kumkwapulia Diamond Platnumz.
Habari mpya zinasema kuwa Wema Sepetu anamsaka meninah kwa udi na uvumba sababu ikidaiwa ni Meninah kutoka kimapenzi na Diamond kwa siri kubwa huku Wema akiwa hana hili wala lile mpaka mapenzi ya...
View ArticleKivazi cha Jokate Utata Mtupu....Atinga Mtaani na suruali iliyonichanika
Mwanamitindo na mtangazaji mahiri Bongo, Jokate Mwegelo amezua utata baada ya kupiga picha akiwa ametinga suruali iliyochanika. Akizungumzia picha hiyo ambayo imevuja katika baadhi ya mitandao,...
View ArticleMchungaji Awashangaza Waumini wake baada ya kumpiga chini mke wa kwanza na...
MCHUNGAJI Peter Rashid Abubakari wa Kanisa la RGC lililoko Mbezi ya Shamba jijini Dar, amedaiwa kuoa mke wa pili aitwaye Pamela Didas Asenga akiwa na umri wa miaka 20 tu ‘dogodogo’. Kwa mujibu wa...
View ArticleDiamond azungumzia tetesi za kupanga kumuoa Meninah ........‘Nahuzunishwa sana’
Na Rama Nnauye-Bongo5 Hatimaye Diamond Platnumz amefunguka kuhusu tetesi zinazoendelea kuwa ameachana na Wema Sepetu na kwamba ana mpango wa kufunga ndoa na Meninah, Diamond alisema kuwa tetesi hizo...
View ArticleKajala: Watu wanaamini sana magazeti, sina utajiri huo wanaousema na wala...
Kajala Masanja amedai kuwa maisha yake hayajabadilika sana kama ambavyo magazeti ya udaku yamekuwa yakiandika. Muigizaji huyo wa filamu alisema kuwa tetesi kuwa ana fedha nyingi kiasi cha kuwa na...
View ArticleJaji Warioba: Tutakutana mtaani.....Ni kuhusu Rasimu ya Katiba mpya.....Ataka...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema Rasimu ya Katiba iliyopendekezwa na Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba imeondoa mambo manne muhimu...
View ArticleMwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta atumiwa Meseji za Matusi
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta amesema anapokea meseji za simu zaidi ya 50 kwa siku za kumtukana na kusisitiza ataendelea kupambana kuhakikisha Katiba inayopendekezwa inapatikana....
View ArticleSerikali yang'aka kuyafungia magazeti
Serikali imesema haina mpango wa kuvifungia vyombo vya habari yakiwamo magazeti badala yake itaendelea kuvionya vinavyokiuka maadili. Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma...
View ArticleMbunge azomewa na wananchi mbele ya Kinana
Mbunge wa Jimbo la Korongwe Mjini, Yusuph Nassir, jana alijikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na wananchi wake wakidai kuwa hatembelei katika jimbo lake. Zomea hiyo ilifuatia baada ya...
View ArticleMwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma ( UDOM ) Afungwa Jela Miaka 6
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu kifungo cha miaka sita jela, Melkiad Kabunduguru(28) baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kukutwa na noti bandia....
View ArticleUbunge wa wabunge Wa EAC shakani.....Mahakama yasema taratibu...
Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), jana imesema uchaguzi wa wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki ni batili kutokana na kukiuka ibara ya 50 ya mkataba wa kuanzishwa Jumuiya ya Afrika...
View ArticleSerengeti Fiesta Yatikisa Mjini Songea kwa Shoo Kali ya Kihistoria
Maelfu ya mashabiki wa mji wa Songea jana ijumaa walikusanyika katika uwanja wa Majimaji mjini humo kushuhudia shoo kali ya kihistoria iliyoporomoshwa na wasanii nyota wa muziki wa kizazi kipya hapa...
View ArticleWahalifu wanaotubu kanisani kuripotiwa Polisi
KANISA Anglikana linakabiliwa na shinikizo la kutakiwa kulegeza masharti ya sheria zake ili wachungaji waweze kuripoti uhalifu wanaousikia kutoka kwa waumini wao wanaoungama. Utaratibu huo umeshaanza...
View ArticleMtuhumiwa Auawa kwa Kuchomwa Moto baada ya Kushindwa Kujieleza
MTU mmoja mwenye umri kati ya miaka 25 na 30 ambaye jina lake halifahamiki, ameuawa baada ya kushindwa kujieleza juu ya pikipiki ambayo yeye na mwenzake walikuwa wanajaribu kuiuza Chalinze. Watu hao...
View ArticleJaji Warioba Ashambuliwa.....Afananishwa na maiti iliyokufa ikafufuka
Mbunge wa Mbinga Kusini, Kapteni John Komba, kwa mara nyingine amemshambulia aliyekuwa Mweyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, kwa ‘kuwaingilia’ na amemuomba Rais Jakaya...
View ArticleMh. Sugu ambaye ni mbunge wa Mbeya Mjini amwagana na Mke wake......Mwanamke...
Mwigizaji wa filamu nchini FaizaAlly amemwagana na mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ... Kupiia Instagram, Faiza ameandika maneno yanayoonyesha...
View ArticleWiki ya kufa au kupona kwa Bunge la Katiba inaanza leo.....Kura kuanza...
Wiki ya kufa au kupona kwa Bunge la Katiba, inaanza leo mjini Dodoma wakati wajumbe watakapoanza kuzipigia kura ibara na sura za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa. Shughuli hiyo itaanza huku kukiwa...
View ArticleRose Ndauka na Mchumba wake Wamwagana
Wachumba wa muda mrefu, staa wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka na Malick Bandawe ambao maisha yao ya kimapenzi yamekuwa yakitawaliwa na msuguano wa chini kwa chini, hatimaye wameachana. Chanzo...
View ArticleRay alia na 'Maprodyusa' uchwara
Staa wa filamu hapa Bongo, Vicent Kigosi ama Ray kwa jina maarufu, ametoa angalizo juu ya kuibuka kwa wingi Watayarishaji wa Filamu ambao wamekuwa hawazingatii viwango vya ubora wa kazi na hivyo...
View ArticleMaslahi ya taifa yamezingatiwa katika Rasimu ya katiba ya sasa- Kingunge
Mwanasiasa Mkongwe nchini Tanzania Kingunge Ngombale Mwiru amesema Katiba ya sasa imezingatia masuala ya Msingi na kuwa bora zaidi na kuongeza kuwa vipengele viliyoondolewa ni kwa maslahi ya Taifa la...
View Article